Stori Kubwa Unaambiwa hizi ndio kazi za hatari zaidi duniani…

roof
Kuna msemo unasema ‘acha kazi uone kazi  kupata kazi’..na kila mmoja anapaswa kuheshimu na kupenda kile anachofanya.
Lakini kuna hii list ambayo imetolewa kuhusu kazi ambazo ni hatari zaidi kufanya pengine kuliko nyingine duniani.
dp
1. Wavuvi- Hii ni moja ya kazi hatari zaidi kutokana na mazingira ya wahusika
lamba
2. Wakata magogo pia wamekua kwenye hatari ya maisha yao kutokana na vifaa wanavyotumia kukata magogo hayo
pilot
3. Rubani
min
4. Wachimbaji madini-Wapo hatarini kutokana na mazingira ya kazi zao
met
Wachomelea vyuma-wengi wao hupata magonjwa ya macho kutokana na mwanga wanaotumia kufanyia kazi
mach
Wafanyakazi wa machinjio-wapo kwenye hatari ya kupata magonjwa ya kuambukiza
bod
Bodyguards-Ni watu ambao wakati wowote wapo kwenye hatari ya kufa
pol
Polisi nao wamekua katika hatari ya kupoteza maisha kutokana na mazingira ya kazi zao
roof
Wajenzi-Inabidi watumie akili nyingi katika kufanya kazi zao kutokana na kuweza kupata ajali wakati wowote wawapo kazini
fire
Zimamoto
(120605) -- GUIYU (GUANGDONG), June 5, 2012 (Xinhua) -- A worker dismantles electronic wastes at a workshop at Guiyu Township in Shantou City, south China's Guangdong Province, May 31, 2012.  With the rapid pace of updating high-tech electronic devices, particularly mobile phones, computers and television sets, the disposal of electronic wastes is becoming a major challenge. China's Ministry of Finance said on May 30 that the country will start amassing a special fund from July this year to subsidize the cost of dealing with waste electrical and electronic equipment.  The fund will be paid by domestic producers and importers of electrical and electronic equipment, according to a regulation jointly issued by the ministry and five other departments.  The fund's establishment aims to promote comprehensive utilization of resources and encourage energy saving and environment protection, it said. Under the regulation, the collection and subsidy criteria varies depending on the equipment.  For example, it will collect 13 yuan (2.05 U.S. dollars) from producers for each TV set, but offer a subsidy of 85 yuan for the treatment of each waste TV set.  As a major manufacturer and consumer of electrical and electronic equipment, at the end of 2011, Chinese owned around 520 million TV sets, 300 million fridges, 330 million air conditioners, 320 million washing machines and 300 million computers.  Tens of millions of the items are disposed of and require waster processing annually, according to the ministry.  (Xinhua/Liang Xu) (ry) Xinhua News Agency / eyevine Contact eyevine for more information about using this image: T: +44 (0) 20 8709 8709 E: info@eyevine.com http://www.eyevine.com ce Xinhua eyevine news XINNEWS recycle recycling renewable energy rubbish waste packaging material reuse environmental climate change environmentally friendly home house green ecology ecological
fama
Wafugaji
power
Mafundi umeme-mazingira ya kazi zao mfano kukaa juu ya nguzo huleta wasiwasi mkubwa wa maisha yao kuwa hatarini
sre
Wafagia barabara-Pia wafanyakazi wa barabarani wamekua kwenye wakati mgumu wa kugongwa na magari wanapokua kwenye kazi zao
km
Wapanda milima naohofia maisha yao ktokana na ugumu wanaoupata wakati wanapopanda milima

Umeipata hii ya joto kali lililoyeyusha mpaka gari? Nimeisogeza toka Italy… (+Video)

italy
upande mmoja wa gari hili ukiyeyuka.
Stori za joto kuongezeka kipindi hiki sehemu mbalimbali duniani zimekuwa zikichukua headlines kubwa sana, ilianza Dubai joto lilipanda mpaka nyuzi 38, tukasikia Uingereza nako nyuzi joto liligonga 40 ikaja India pia joto nyuzi lilifikia nyuzi 45.
italy2
bumpa ya nyuma na taa vikiyeyuka pia..
Nimekutana na sotri kutoka Italy ambako nyuzi joto limeongezeka kufikia nyuzi 37C…matukio na athari za jua yamekuwa yakiweka headlines mbalimbali Italy moja wapo ni hii ya gari kuyeyuka kutokana na joto kali la jua.
Tukio lilinaswa kwenye picha na video na mtalii mmoja aliyekuwa anatoka hotelini kuelekea beach na kisha kushangazwa kuona uji uji mzito unidondoka kutoka kwenye gari hilo, alipolikaribia gari hilo aligundua kuwa gari lilikuwa linayeyuka kutokana na joto kali la jua.
italy3
Kitu hiki kimewashangaza watu wengi huku vyombo vingi vya usalama nchini humo vimewaomba watu kupunguza kutoka nje na kwenda baharini na kufunga viyoyozi vitakavyowasaidia kupunguza joto.

Ni headline baada ya headlines.. hii ni nyingine kutoka kwa Miss Tanzania 2012

.
.
Shirikisho la Ngumi za kulipwa la Afrika (IBF Africa) kwa kushirikiana na Taasisi ya Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred Foundation (BAF) wameandaa mapambano ya ngumi ya kimataifa kwa kushirikisha mabondia nyota duniani.
Mapambano hayo yamepangwa kufanyika Novemba 28 kwenye ukumbi wa Mlimani City na lengo lake kubwa ni kutafuta fedha za kusaidia watu wenye ulemavu wa ngozi (albino).
.
.
Akiongea na millardayo.com Miss Tanzania 2012 Brigitte alisema….“Tumeandaa mbio za Marathon mkoani Kilimanjaro wiki moja baada ya ngumi, mbio hizo, pia kutakuwa na zoezi la kupanda mlima Kilimanjaro, lengo ni kutafuta fedha za kuwasaidia albino na vile vile kutangaza utalii wetu, naomba makampuni yajitokeze,”  -Brigitte.
.
.
Rais wa IBF Africa, Onesmo Ngowi alisema kuwa siku hiyo imepewa jina la “knock out albinos killers” (piga wanaua albino) ambapo bondia kutoka Denmark, Lolenga Mock atapigana na bondia nyota wa Zambia, Chioctha Chimwemwe  katika pambano la uzito wa super middle la  IBF continental Africa super.
.
.
Pambano hilo limepangwa kuwa la raundi 12 na litafuatiwa na pambano lingine la kulipiza kisasi kati ya bondia kutoka Afrika Kusini, Phillip Ndou atakayepambana na Mtanzania, Ramadhan Shauri kuwania ubingwa wa IBF-Continental Africa welterweight  ambalo pia litakuwa la raundi 12.
Bondia nyota wa Tanzania, Cosmas Cheka naye atapanda ulingoni kupambana na Gottlieb Ndokosho wa Namibia kuwania ubingwa wa IBF continental Africa super-feather.
.
.
Waandaji wa tamasha hilo  wameamua kushirikiana na Brigitte kutokana na kutambua juhudi zake za kutetea albino baada ya kuwajengea bweni eneo la Buhangija, Shinyanga na taasisi yake kwa kushirikiana na Junior Achievements (JA) wanatoa elimu ya ujasiriamali kwa jamii hiyo.
“Brigitte akiwa mwenye mashindano ya urembo ya dunia, 2012, aliweka rekodi ya kushika nafasi ya tatu katika mashindano ya ‘urembo wenye malengo maalum” au Beauty with purpose”, alipeleka kazi yake ya ujenzi wa bweni la albino mkoani shinyanga, imetupa faraja sana na kuamua kumuunga mkono katika vita hiyo,”- Onesmo Ngowi

Jux kudondosha video mpya “I’m Looking for you” feat. Joh Makini kwa mara ya kwanza kwenye #Exclusive ya MTV Base Africa!

jux
Msanii wa Bongo Flava Jux anaziandika headlines kwenye kurasa za burudani, jumanne hii saa kumi na mbili jioni (E.A.T) video mpya ya bongo flava superstaa Jux aliomshirikisha staa wa Hip Hop nchini Joh Makini itaruka kwa mara ya kwanza (Exclusive) kwenye Mtv Base Africa (chanel 322).
Wimbo unaitwa I’m looking for you na video imetengenezwa South Africa ndani ya usimamizi wa Justin Compos wa Gorilla Films.
jux2

Hemedy PhD atawataja warembo wake? Navy Kenzo Feat. Pah One? Skywalker na wimbo wa Dr. Dre… #255

Kutoka Dar es Salaam Tanzania, story ya kwanza kwenye zilizosikika kwenye 255 wakati show ya XXL ikiwa hewani, inamhusu Skywalker, kuhusu yeye leo ni ishu ya kubadili wimbo wa Dr. Dre na kuuweka kwenye Flavour ya kiswahili kabisa.
Fredrick Bundala aka Skywalker
Kilichomgusa akaamua kufanya hivyo anasema kwanza ni kwa sababu anampenda Dr. Dre, alafu hii sio mara ya kwanza anafanya kurudia wimbo kama alivyofanya kwa huu wa Dre, akataja na list ya nyimbo za mastaa alizowahi kuzirudia ikiwemo wimbo wa Usher Raymond.
Hemedy PhD kwenye headlines nae, sasahivi ana hit ambayo kaibariki kwa jina la ‘Imebaki Story‘… YES YES, hataki kulaza mambo aisee, anasema mipango yake ni kwamba hits nyingine haziko mbali sana kuachiwa… iko ambayo pia anatarajia kuiachia soon, unaambiwa humo ndani kaitaja list ya warembo wote aliowahi kuwa nao, duh.. Tutaisubiri hii !!
hemedy
Hemedy PhD, staa wa Muziki na Movie Bongo.
Alikuwa na mpango kuitisha usaili wa wanawake ili ampate hapohapo wa kuoa, umeishaje? Majibu ya Hemedy anakiri kwamba ilikuwa tu ni ujana unamsumbua, amekua mtu mzima sasahivi na hata hawazi kufanya hiyo kitu.
Jamaa wa Pah One wanafunga ukurasa, wamesema wana mpango kufanya collabo na Navyo Kenzo washkaji ambao zamani ilikuwa ni kundi moja kabisa… Nahreel member wa Navy Kenzo anasema hawajawasiliana, ila kazi yake ni producer na kama ikitokea biashara kutoka kwa Pah One kufanya nae kazi hatoikataa !!
Pah-one
Hii ndio Pah One ya kwanza, kabla ya Aika na Nahreel kujitoa na kuanzisha Navy Kenzo.
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos
Dr Mwaka - Foreplan Clinic

Recommended for you

Raheem Sterling awafurahisha mashabiki wa City

Winga wa Manchester City Raheem Sterling ambaye amejiunga na timu hiyo baada ya kununuliwa toka Liverpool ameonekana kuanza kuwavutia mashabiki wa klabu yake mpya baada ya kitendo chake cha kugawa jezi kwa shabiki mdogo baada ya mchezo wake wa kwanza kwenye ligi kuu ya England .
Sterling ambaye alinunuliwa katika dili la paundi milioni 49 alivua jezi yake baada ya mchezo dhidi ya Westbromwich Albion na kwenda moja kwa moja jukwaani ambapo aliikabidhi jezi hiyo kwa shabiki mmoja ambaye alionekana kufurahia kitendo hicho .
Sterling akiruka uzio kwenda kutoa jezi kwa shabiki wa Man City.
Sterling alifanya kitendo hicho kwenye mchezo ambao Man City ilishinda kwa matokeo ya 3-0 matokeo ambayo yamewafanya waongoze ligi katika wiki yake ya kwanza huku mabingwa watetezi wa ligi hiyo Chelsea wakibanwa mbavu .
Sterling alivua jezi yake na kwenda kuigawa kwa shabiki wa Man City.

Manchester City na Manchester United vitani.

Huku Manchester United wakionekana kujiandaa kutangaza usajili wa kiungo mshambuliaji Pedro Rodriguez , mahasimu wao toka jijini Manchester Man City wameingilia kati usajili huo na kutishia nafasi ya United.
City kupitia kwa mkurugenzi wake mtendaji Txiki Bergistan wanajiandaa kupeleka ofa ya euro milioni 30 kwa ajili ya mchezaji huyo ambapo inaelezwa kuwa ofa yao inazidi ofa ya United kwa euro milioni 4 ambapo United wametoa ofa  ya euro milioni 26.
United kwa siku za hivi karibuni wamekuwa wakitajwa kuwa karibu kumsajili mchezaji huyu ambaye ni dhahiri hana nafasi ya kuumu kwenye kikosi cha kwanza cha Barcelona na ameweka wazi azma yake ya kutaka kuondoka.
Manchester City wanaonekana kutumia faida ya ukaribu ulioko kati ya  wakurugenzi wake wawili Txiki Bergistan na Feran Soriano na klabu ya Barcelona ambapo wawili hao waliwahi kufanya kufanya kazi kwa miaka mingi kwenye klabu hii ya huko Catalunya .
Hata hivyo bado ofay a Manchester City haijawasilishwa rasmi kwa Barcelona na hadi sasa mazungumzo rasmi ambayo yamefanyika ni kati ya Barca na United na inaweza kufikia hatua ya mchezaji mwenyewe kuchagua mahali anakotaka kwenda .

Peter wa P Square kamzungumzia Diamond Platnumz na wanachotakiwa kukifanya Watanzania.

Peter ambaye ni mwimbaji kutoka kundi la P Square aliongea na ripota wako Millard Ayo kuhusu Diamond Platnumz na kitu Watanzania wanatakiwa kufanya lakini pia amezungumzia kolabo yao, hii video hapa chini ina kila kitu alichokisema.
KWA VIDEO NA MAELEZO ZAIDI SOGEA KWA MY BROTHER
www.millarldayo.com