Kwa mashabiki wa Janet Jackson… yuko na J.Cole kwenye hii video mpya
Kampuni iliyoongoza 2015 kwa kuuza magari mengi duniani ni……. (sio Toyota)
Ni moja ya zile stori kubwa za wiki hii duniani ambapo CNN wameripoti kwamba taji lililokuwa likishikiliwa na kampuni ya Toyota ya Japan iliyovunja rekodi kwa miaka mingine, limebebwa na kampuni nyingine sasa hivi.
Data za mauzo ya magari kwenye miezi sita ya mwanzo ya mwaka 2015 zinaonyesha kwamba kampuni ya Ujerumani Volkswagen ndio imeshika namba 1 kwa mauzo ya magari kwenye nchi mbalimbali za dunia na kuipiku Toyota ambayo imeuza magari MILIONI 5.02 huku Volkswagen ikiuza kwa MILIONI 5.04
Pamoja na hizo takwimu, bado Toyota inafanya vizuri kwenye soko la Afrika kutokana na magari yake kuwa imara na yanayoweza kumudu miundombinu mibovu ya barabara Afrika lakini pia upatikanaji wa spare na bei zake kuwa nafuu kumezidi kuwavutia Waafrika wengi.
Miandiko ya Mastaa wako Vanessa Mdee, Fid Q, Chameleone, 2 Face, Ben Pol na Maurice Kirya wanavyoandika majina yao
Vanessa Mdee
Ni
time ya kurudi shule kidogo… kwenye miandiko huwa ipo ya aina nyingi na
kama mimi nilivyokua natamani kuona miandiko ya mastaa mbalimbali
ninaowafatilia naamini hata wewe inawezekana ulikua na kiu kama yangu,
hii ni sehemu tu ya miandiko yao wakiandika majina yao.

mourice kirya wa uganda
mwandiko wa mourice kirya wa uganda
fidQ
chameleon
2face
nahreel
Subscribe to:
Posts (Atom)