INASEMEKANA DAVID BECKHAM NDIO MWANAUME ANAEPENDEZA KWENYE VAZI LA SUTI,DUNIANI
Huu ni mtazamo wa watu huko Uingereza kuwa hawajawahi kuona mwanaume anaependeza ndani ya vazi la suti kama Beckham.Haya wanaume hapa bongo nani anapendeza akivaa suti?ngoja nifikirie halafu ntakuja kuwaambia.Ila najua kuna wanaume ambao si maarufu na wanapendeza mbaya wakivaa vazi la suti.
Uzinduzi wa video mpya "BAADAE" by OMMY DIMPOZI ndani ya NEW MAISHA CLUB
Msanii anayeshikilia tuzo mbili za Kilimanjaro Ommy
Dimpozi akizindua video yake mpya inayokwenda kwa jina la
BAADAE ambayo location zake zilichukuliwa Joz South Africa na video
kuzinduliwa Bongo ndani ya New Maisha Club kiwanja cha nyumbani.
Wasanii wenzake
walikuwepo kumsindikiza Ommy Dimpozi, msanii kama Chege Chigunda alikuwa
mmoja kati ya wasanii waliofanya poa sana na kupata shangwe nyingi
hadi kufikia time ya Ommy mwenyewe kupanda katika steji ya Maisha Club
DITTO ACHAGULIWA KATIKA TUZO ZA RADIO FRANCE INTERNATIONAL
Nyota wa
kizazi kipya anayejulikana kwa jina la Lameck Ditto kutoka hapa bongo
land Tanzania amechanguliwa katika kuwania tuzo za Radio France
International Discoveries
ambazo zitakuwa zinatolewa nchini France.katika tuzo hizi wasanii kumi
kutoka Africa wamechanguliwa katika kuwania tuzo hizi na Ditto naye ni
moja kati ya wasanii ambao wametajwa katika list ya wasanii ambao
watashiriki katika kuwania tuzo za Radio France Intenational
Discoveries.Kama mshindi akipatikana katika tuzo hizo za Radio France
International basi atajipatia Euro elfu kumi na mkataba wa kufanya
show live katika nchi 18 Duniani.Kwa hiyo tuna mtakia ushindi katika
tuzo hizi za Radio France International.Hapo chini ndiyo categories
ambayo msanii huyu atachuana na wasanii wa nchi mbalimbali katika
kuwania tuzo hizo za Radio France International na kwa chini kuna sehemu
ya kumpigia kura Ditto iliaweze kushinda Tuzo ya Radio France
Internarional. kea hiyo kama wewe una support muziki wa hapa Tanzania
basi tumpie kura mtanzania mwenzetu.
vote discoveries-award-2012
Vote for your favourite finalist | |||||||||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| |||||||||||||||||||||||||
|
Subscribe to:
Posts (Atom)