OMBI!!!! JUU YA UPOTEVU KWA KIPINDI KIREFU WOTE MNA KARIBISHWA

HABARI ZENU!!!!! NINGE PENDA KUOMBA RADHI KWA KIPINDI KIREFU SANA KUTOKUA HEWANA HIYO YOTE NI KUTOKANA NA MISHUHURIKO YA HAPA  NA PALE ILA MSIJARI KWANI MAMBO YOTE YASHA KAA SAWA KWA KUDRA ZA MWENYEZI MUNGU ALIE TUUMBA TEGEMENI HABARI MBALI MBALI ZA NDANI NA NNJE YA NCHI KUANZIA HIVI SASA USICHEZE MBALI