gwiji wa muziki wa mwambao afrika fatuma binti baraka imelipotiwa
kuwa hali yake kwa sasa sio nzuri kiafya mpaka kupelekewa kulazwa katika
hospital ya mnazi mmoja huko zanzibar dua zetu ni kitu muhimu sana kwa
bibi huyu hili hali yake irudi kawaida.amin.natumaini kila mmoja wetu ata mwombea bibi huyu ili aweze kurudi katika hali yake........by darls babie