PICHA 3 ZA AJALI YA NDEGE YA TANAPA ILIYOTOKEA JANA MPANDA TANZANIA....
Ndege
ya shirika la hifadhi la taifa (TANAPA) aina ya C182 ikiwa imeanguka
katika eneo la nsemulwa mjini Mpanda muda mfupi baada ya kuondoka katika
uwanja wa ndege wa Mpanda ikiwa inaendeshwa na rubani Adam kajwa
alieumia sehemu ya uso.