Kuna msemo unasema ‘acha kazi uone kazi kupata kazi’..na kila mmoja anapaswa kuheshimu na kupenda kile anachofanya.
Lakini kuna hii list ambayo imetolewa kuhusu kazi ambazo ni hatari zaidi kufanya pengine kuliko nyingine duniani.
2. Wakata magogo pia wamekua kwenye hatari ya maisha yao kutokana na vifaa wanavyotumia kukata magogo hayo
Wajenzi-Inabidi watumie akili nyingi katika kufanya kazi zao kutokana na kuweza kupata ajali wakati wowote wawapo kazini
Mafundi umeme-mazingira ya kazi zao mfano kukaa juu ya nguzo huleta wasiwasi mkubwa wa maisha yao kuwa hatarini
Wafagia barabara-Pia wafanyakazi wa barabarani wamekua kwenye wakati mgumu wa kugongwa na magari wanapokua kwenye kazi zao