NI NASEEB ABDULL NDANI MKASI TV SHOW AKIHOJIWA MAWILI MATATU NA SALAMA JABIL...


naseeb abdull jina lake halisi laki super star zaidi hupenda kuitwa DIAMOND PLATNUM amekuwa bora sasa katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya wa bongo freva alli hojiwa jana katika kipindi cha mkasi tv ndani ya channel five au kwa jina lingine  eatv na mwana dada salama jabili mambo mengi likiwemo moja ambalo bwana DARLS BABIE nilikuwa makini katika kusimamai shoo ilikulielewa zaidi nilile ambalo SALAMA JABILI ali mtundika mwana muziki huyu swala lakwamba kila siku anavyo sikia skendo katika magazeti mara sijui leo wameludiana na wema mara hivi diamond akajibu ukiwa kama staa basi jua kuna raha yake na ubaya wake so katika kuandikwa katika magazeti kwa matukio mabaya au mazuri na moja ya changamoto tu so kwa vingi ambavyo vina andikwa katika magazeti sio vya ukweli na kuhusu sili ya mambo yake anayo mwenyewe na sio watu wengine....