MAMBO JAMBO SUMMER JAM ARUSHA
Na mambo
Jambo Summer Jam,Concert itayofanyika siku ya Iddi Mosi pale Sheikh
Amri Abeid Stadium Arusha from Saa sita mchana hadi jioni na round hii A
City is in tha houseeee!!! Bounako, StopaRhymez,
Fidovato, WEUSI, TaigaRaiz, Badtaito, J4c, MayC, Veejay, Gfaya,
Meccacheka, EffectZero, Gentriez, YungOmega na MirryCandle juu ya stage
la kibabe, sound ya kibabe ni buku mbili tu siku iyo endelea kuskiza radio yako
inayoaminika..93.0 Mambo Jambo Radio