Mkali wa miondoko ya hih hop nchini kutoka salasala godzila a.k.a King
zila mesema' ndoto yake siku moja ni kuja kufanya ngoma na mkali wa
hiphop kutoka marekan 50 cen't. amesema" king zila kila siku uota ndoto
hiyo na anaamin ipo siku ndoto yake itakuwa kweli.