
Inawezekana hukua unaamini kuwa kuna siku jamaa hawa wawili ambao walikua wakiwakilisha ‘
Top Band‘,
Q Chief na
TID wasingeweza kukaa pamoja na kumaliza tofauti zao na hii imetokana na kuingia kwenye headlines sehemu mbalimbali kuwa hawako sawa, taarifa ikufikie kuwa
TID na
Q Chief kwa sasa wako fresh na wanarudi pamoja kimuziki tena.

Kwenye interview ya kukumbuka album zilizopita kwenye
XXL ya
Clouds FM August 13 waliwaita
Q Chief na
TID, yamezungumzwa mengi sana kwenye interview hii ikiwemo album nyingine itakayotoka itakayowaunganisha
Q Chief na
TID,