GENERAL NEWS Kabla ya Ripoti toka Mwanza, ninazo na hizi picha nyingine za Arusha baada ya Lowassa kutua August 15 2015..

Safari ya Mgombea Urais wa CHADEMA na UKAWA, Edward Lowassa kutafuta Wadhamini Mikoani ilianza August 14 ambapo alishuka Mbeya katika Viwanja vya Shule ya Ruanda Nzovwe, alafu August 15 2015 safari ikaendelea Arusha eneo la Tindigani… August 16 anatua Mwanza.
Hizi ni pichaz nyingine naziwekakaribu na wewe mtu wa nguvu uone hali ya Arusha baada ya Mgombea Urais huyo kutua.
Screen Shot 2015-08-15 at 9.07.11 PM
Mwonekano wa stage ya CHADEMA ilivyoandaliwa kwenye Viwanja vyaTindigani.
Screen Shot 2015-08-15 at 9.07.20 PM
Watu wa Arusha waliofika kwenye Mkutano wa CHADEMA.
Screen Shot 2015-08-15 at 9.07.32 PM
Mama Regina Lowassa.
Screen Shot 2015-08-15 at 9.07.47 PM
Screen Shot 2015-08-15 at 9.07.56 PM
Edward Lowassa kwenye stage kabla ya kuanza kuongea na watu wa Arusha.
Screen Shot 2015-08-15 at 9.08.07 PM
Mbunge Godbless Lema.
Screen Shot 2015-08-15 at 9.08.17 PM
Screen Shot 2015-08-15 at 9.08.28 PM
Screen Shot 2015-08-15 at 9.08.40 PM
Screen Shot 2015-08-15 at 9.08.56 PM
Vikosi vya watu wa Usalama wakihakikisha usalama wa kutosha kuanzia barabarani.