Ukimuangalia ni kama mtoto, umri wake ni miaka 26… Kuna sehemu bila cheti cha kuzaliwa hakatizi… Picha

ttt
Watu wengi hutumia gharama kubwa kujaribu kurudisha miili yao isionekane kuzeeka lakini kwa Hyomyung Shin kutoka Korea Kusini imeonekana kuwa tofauti.
korea
Shin alizaliwa mwaka 1989 lakini amekua akiwashangaza wengi kutokana na umbile lake dogo ambalo halina tofauti na mtoto wa miaka 10.
korea2
Umri wake ni miaka 26 amekua akipata wakati mgumu akitaka kujichanganya na washkaji wengine katika sehemu mbalimbali ikiwemo kumbi za starehe hata shuleni… Wakati mwingine inabidi aoneshe Cheti cha kuzaliwa ili wamuelewe na kumruhusu.

ide
totot