Ni headlines juu headlines mtu wangu,kwenye pitapita zangu nimekutana na hizi zaMadee ambazo anaonekana yuko shule na muda mwingine anaonekana kama anatumikia adhabu ambayo kapatiwa na Mwalimu,kwenye picha hizi anaonekana pia Dogo Janja na Raymond wa Tiptop Connection.
KWA HABARI KAMILI JONGEA KWA MY BROTHER MILLARD AYO TZA UPATE YALIYOMO KWENYE EMPLIFAYA YA CLOUDZ FM