Maajabu Tembea uone: hizi ni barabara nyingine 5 hatari duniani… utaendesha gari hapa?
Ni dunia na ilivyoumbwa, kuna sehemu ambazo hatujawahi au hatutofika
kabisa lakini teknolojia imeturahisishia na kutupa nafasi ya kuona
kukojekukoje ambapo hii ya barabara nayo nilikua siijui, tazama list ya
barabara zenyewe kwenye picha na hiyo video hapo chini baada ya picha.