Waziri
mkuu wa zamani wa Tanzania Edward Lowassa July 28 2015 Bahari beach Dar
es salaam alitangaza maamuzi yake mapya ya kukihama chama cha mapinduzi
CCM na kujiunga na CHADEMA ambacho kipo kwenye muungano wa UKAWA.
Hii hapa chini ni full video ya Lowassa akitangaza hayo maamuzi yake mapya.