Ni video nyingine mpya kutoka bongoflevani…Mirror ‘hapo ulipo’
Ni msanii mwingine kutoka kwenye ukoo wa bongofleva, anaitwa Mirror na
yupo chini ya usimamizi wa kampuni ya mwigizaji wa Tanzania Wema Sepetu,
video inaitwa hapo ulipo na imefanywa na Director Hanscana.