Kwa mashabiki wa Janet Jackson… yuko na J.Cole kwenye hii video mpya
Ni miongoni mwa wale mastaa wa longtime duniani ambao wamekua kimya kwenye muziki kwa miaka…. July 26 2015 Janet Jackson ametoa single yake ya ‘No sleeep‘ Feat J.Cole ndio hii unaweza kuitazama hapa chini ambao ina views zaidi ya milioni 4 toka imeachiwa.