INASEMEKANA DAVID BECKHAM NDIO MWANAUME ANAEPENDEZA KWENYE VAZI LA SUTI,DUNIANI
Huu ni mtazamo wa watu huko
Uingereza kuwa hawajawahi kuona mwanaume anaependeza ndani ya vazi la
suti kama Beckham.Haya wanaume hapa bongo nani anapendeza akivaa
suti?ngoja nifikirie halafu ntakuja kuwaambia.Ila najua kuna wanaume
ambao si maarufu na wanapendeza mbaya wakivaa vazi la suti.